Shirika la Umoja wa mataifa la maswala ya wakimbizi UNHCR nchini Uganda limepata wasiwasi wa fungu la fedha la fedha walilonalo la wakimb...
Mapigano yasitishwa mji mkuu wa Yemen
Mapigano katika mji wa bandari wa Aden, Yemen, yanaarifiwa kutulia kwa sasa baada ya kutokea ghasia kati ya wapinzani wa muda mrefu, kati...
Moto wateketeza nyumba nyingi mtaa wa Kijiji, Nairobi
Mamia ya watu wamekesha nje usiku wa kuamkia leo Jumatatu, bila ya kuwa na mahali pa kulala, nchini Kenya, baada ya moto mkubwa kuteket...
Afghanistan: Kituo cha mafunzo ya jeshi chavamiwa Kabul
Milio ya risasi na milipuko imesikika katika kituo cha mafunzo ya kijeshi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, taarifa zinasema. Vyom...
Ghasia Ethiopia zasababisha vifo
Vyombo vya Habari nchini Ethiopia vimeripoti kuwa watu kadhaa wameuawa katika maandamano yenye vurugu yaliyofanyika kaskazini mwa nchi hi...
Sababu ya Donald Trump kujibizana na mwanamuziki Jay-Z
Rais wa Marekani Donald Trump amemjibu Jay-Z baada ya mwanamuziki huyo wa muziki wa Rap kumuita "mdudu hatari'' na kumkaripi...
Washukiwa 40 wa mauaji kufuatia mgogoro wa ardhi wakamatwa na polisi Tanzania
Takriban watu 40 wamekamatwa na maafisa wa polisi nchini Tanzania kufuatia mauaji ya watu wawili waliouawa kutokana na mgogoro wa ardhi w...
Mataifa ya Afrika yamtaka Trump kuomba msamaha
Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi...
Polisi wawalaumu panya kwa mihadarati iliotoweka India
Police katika mji wa Mumbai nchini India wanawalaumu panya kwa kutoweka kwa kilo 34 za dawa za kulevya kwa jina Ketamine. Wanasema wanaw...
Kichwa cha mwandishi aliyetoweka chapatikana baharini Sweden
Kichwa cha mwandishi wa Sweden Kim Wall kimepatikana , miezi miwili baada ya kupotea katika ziara na raia mmoja wa Denmark. Waogeleaji ...
Chadema chakosoa hali ya uchunguzi wa Tundu Lissu
Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimeuliza maswali mengi kuhusu hatua zilizopigwa katika uchunguzi wa Mbunge wa Singida masha...
Rais Magufuli alifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri Tanzania
Rais Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri huku kukiwa na mabadiliko kidogo ambapo amewaondoa mawaziri wanne waliokuemo katika ...
Taarifa za siri za kampuni ya Apple zafuja
Taarifa kuhusu simu mpya za iPhone na vifaa vingine vya Apple ambavyo havijazinduliwa zimefuja. Mitandao miwili iliruhusiwa kuona aina ...












