Deni la taifa Tz laongezeka hadi trilioni 40 10:31 Unknown 0 HABARI A+ A- Print Email Kwa mujibu wa hotuba ya bajeti ya mwaka huu nchini Tanzania, deni la taifa limeongezeka na kufikia zaidi ya shilingi trilioni 40. Je unafahamu kuwa kila mtanzania anadeni ya zaidi shilingi milioni moja ? Je taifa linawezaje kuwa na jitihada mpya na za ziada za kupunguza au kuondoa kabisa deni lake ?
Post a Comment