0
 Spika wa bunge la wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha (AJTC)akilifungua bunge ndani yaukumbi wa chuo hicho.


Hawa ni baadhi ya mawaziri wa serikali ya wanafunzi wa AJTC wakiwa makini na kusubiria kutoa hotuba za utendaji kazi tangu waingie madarakani  novemba 2015 .

Wabunge wa majimbo mbalimbali ndani ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha(AJTC) wakiwa tayari kuuliza maswali kwa serikali ya wanafunzi chuoni hapo.






Post a Comment

 
Top