0
UNHCR laonywa kuhusu hatma ya wakimbizi Uganda kutokana na ukosefu wa ufadhili
UNHCR laonywa kuhusu hatma ya wakimbizi Uganda kutokana na ukosefu wa ufadhili

Shirika la Umoja wa mataifa la maswala ya wakimbizi UNHCR nchini Uganda limepata wasiwasi wa fungu la fedha la fedha walilonalo la wakimbizi katika mwaka huu wa 2018. Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Uganda, Joel Boutroue amesema kufikia sasa wana …

Read more »

0
Pierre-Emerick Aubameyang: Arsenal wakaribia kumchukua mshambuliaji wa Borussia Dortmund kwa £60m
Pierre-Emerick Aubameyang: Arsenal wakaribia kumchukua mshambuliaji wa Borussia Dortmund kwa £60m

Arsenal wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua mshambuliaji matata kutoka Gabon Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund kwa karibu £60m. Lakini uhamisho huo hautaidhinishwa hadi pale Dortmund watakapopata mchezaji wa kujaza pengo amb…

Read more »

0
Mapigano yasitishwa mji mkuu wa Yemen
Mapigano yasitishwa mji mkuu wa Yemen

Mapigano katika mji wa bandari wa Aden, Yemen, yanaarifiwa kutulia kwa sasa baada ya kutokea ghasia kati ya wapinzani wa muda mrefu, katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Watu kadhaa wakiwemo raia wameuawa ama kujeruhiwa kati…

Read more »

0
Moto wateketeza nyumba nyingi mtaa wa Kijiji, Nairobi
Moto wateketeza nyumba nyingi mtaa wa Kijiji, Nairobi

Mamia ya watu wamekesha nje usiku wa kuamkia leo Jumatatu, bila ya kuwa na mahali pa kulala, nchini Kenya, baada ya moto mkubwa kuteketeza nyumba zao katika mtaa wa Kijiji eneo la Langata, Nairobi. Moto huo ambao chanzo chake bado hakijabainika uliz…

Read more »

0
Afghanistan: Kituo cha mafunzo ya jeshi chavamiwa Kabul
Afghanistan: Kituo cha mafunzo ya jeshi chavamiwa Kabul

Milio ya risasi na milipuko imesikika katika kituo cha mafunzo ya kijeshi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, taarifa zinasema. Vyombo vya habari vinasema Chuo Kikuu cha Masuala ya Ulinzi wa Taifa cha Marshal Fahim kimeshambuliwa mapema asubuhi. …

Read more »

0
Ghasia Ethiopia zasababisha vifo
Ghasia Ethiopia zasababisha vifo

Vyombo vya Habari nchini Ethiopia vimeripoti kuwa watu kadhaa wameuawa katika maandamano yenye vurugu yaliyofanyika kaskazini mwa nchi hiyo. Ghasia hizo zilisambaa pia jana katika mji wa Sirinka, ambao ni wa nne kukumbwa na ghasia hizo. Barabara zin…

Read more »

0
Sababu ya Donald Trump kujibizana na mwanamuziki Jay-Z
Sababu ya Donald Trump kujibizana na mwanamuziki Jay-Z

Rais wa Marekani Donald Trump amemjibu Jay-Z baada ya mwanamuziki huyo wa muziki wa Rap kumuita "mdudu hatari'' na kumkaripia kwa namna anavyowachukulia watu weusi. Katika ujumbe kwenye Twitter Bw Trump alisema kuwa "kiwango cha Wamarekani wasio na …

Read more »
 
 
Top