Mahakama ya juu nchini India imeamua
kuwa talaka ya mara moja katika dini ya kiislamu ni kinyume na katiba,
uamuzi ambao umekuwa ni ushindi mkubwa kwa haki wanawake.
India ni moja ya nchi chache ambapo mwanamume muislamu anaweza kumtaliki mkewe kwa kutamka neno talaq mata tatu.Uamuzi huo wa mahakama unafutia kesi zilizokuwa zikipinga talaka hiyo.
Kesi hizo ziliwasilishwa mahakamani na wanawake watano waislamu waliokuwa wamepewa talaka kwa njia hiyo pamoja na na makundi mawili ya kutea haki.
- Talaka tatu marufuku India
- Watakaowachinja ng'ombe kufungwa maisha India
- Msichana wa miaka 10 anayetaka kutoa mimba India
- Mwanamke akata uume wa kiongozi wa dini India
Licha ya njia hiyi ya kutaliki kutumiwa kwa miongo kadha hiajatajwa popote pale kwenye Sharia au Koran
Post a Comment