Waziri Nchemba afungua gereza la Kitengule, Kagera
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amelifungua gereza
la kilimo Kitengule liliharibika vibaya mwaka jana baada ya kutokea
tetemeko la ardhi mkoani Kagera jambo lililosababisha waziri kulifunga
hadi pale litakapofanyika marekebisho.
Post a Comment