0
Kocha wa Timu ya Taifa ya Argentina ambayo ilipigwa na Chile katika Fainali za Copa America amebwaga manyanga.
Gerardo Martino mwenye miaka 53 katika taarifa yake ya kuondoka amesema moja ya sababu ni kutokana na kuwapo kwa matatizo katika kuchagua kikosi cha kushiriki Olimpiki.
Gerardo amekuwa mwalimu wa Argentina tangu mwaka 2014 baada ya kuifundisha Barcelona huko nyuma.

Post a Comment

 
Top