Imefahamika kuwa kashfa ya
kuwanyanyasa kingono watoto wadogo na kuzidi kulitia doa soka la
Uingereza ambalo wiki za hivi karibuni mwanasoka huyo imefahamika
kwamba yuko hospitalini, baada ya taarifa za kutoonekana kwake.
Barry Bennell awali aliwahi kufungwa gerezani mara tatu nchini Uingereza na Marekani kwa makosa ya ya kingono kwa watoto mnamo miaka ya 1970.
Tayari polisi nchini Uingereza imeanza kufanya uchunguzi madai ya wachezaji kadhaa wa zamani vijana kwamba waliwahi kunyanyaswa kingono pindi walipokuwa wavulana wadogo .
Nao Umoja wa Vyama vya Soka barani Ulaya umetoa tamko kuwa aina yoyote ya tabia za unyanyasaji katika soka hazikubaliki kabisa.
Post a Comment