0
Waziri wa mashauri ya kigeni nchini Italia Paolo Gentiloni, anasema kuwa kuondoka kwa Uingereza kutoka muungano wa Ulaya huenda kusifanyike licha ya kura ya maoni ya mwezi uliopita ambapo wengi wa raia wa Uingereza walipiga kura ya kuondoka.
Akiongea na BBC amesema kuwa kumekuwa na kura nyingi za maoni barani Ulaya ambazo zimebadilishwa na kura mpya za maoni au bunge.
Image copyrightREUTERS
Image captionRaia wanaopinga kuondoka kwa Uingereza katika muungano wa Ulaya
Anasema kuwa ikiwa Uingereza itabadilisha fikra zake, inaweza kunywa glasi ya mvinyo kwa hilo.

Post a Comment

 
Top