0
Dada wawili Venus na Serena Willims watakutana katika fainali ya taji la Grand Slam kwa mara ya tisa baada ya ndugu hao wawili kufuzu katika nusu fainali.
Venus anayeorodheshwa wa 13 alimshinda raia mwenza wa Marekani Coco Vandeweghe 6-6, 6-2 na 6-3 kutinga fainali yake ya kwanza tangu 2009.
Serena anayeorodheshwa wa pili alimshinda raia wa Croatia Mirjana Lucic-Baroni 6-2 6-1 katika nusu fainali ya pili.
Serena anataka kuvunja rekodi ya Open Opera kwa kujishindia mataji 23 ya Grand Slam.
Itakuwa ushindi wa saba wa Australia Open kwa Serena huku Venus akitarajia kushinda taji lake nane .

Post a Comment

 
Top