0
Ripoti kutoka nchini Iraq zinasema kuwa wapiganaji kadha wa Islamic State wameuwa walipojaribu kuukimbia mji wa Fallujah, ambao tayari umetekwa na vikosi vya serikali.
Habari zimeifahamisha BBC kuwa wapigagi hao wemeuawa na wakijaribu kukimbia kupitia jangwani wakitumia magari.
Inaaminika kuwa walikuwa wakielekea ngome ya IS iliyo karibu na mbaka wa Syria.
Lakini wakati wapiganaji hao walikuwa wakikimbia, walilengwa na vikosi vya Iraq na ndege za Marekani na kushambuliwa.

Post a Comment

 
Top