Mamlaka kuu Iran nchini imemnyonga mtu mmoja anayetuhumiwa kwa kuwabaka wanawake kadhaa katika mji wa Shiraz Kusini mwa nchi hiyo.
Ametajwa kama Amin "D".
Lakini alifahamika kama "Vaseline Man" kwa visa vyake vibaya vya kuvunja na kuingia ndani ya nyumba za watu, kuwabaka na kisha kuwapaka mafuta wahasiriwa na hata wakati mwingine kuwauwa.
Alinaswa na camera maalum ya CCTV kisha akakamatwa na kuhukumiwa kifo baada ya kubainika kuwa ni yeye.
Post a Comment