Roboti ya chini ya maji imenasa
picha zinazoaminika kuwa za kwanza kabisa ya mafuta ya nuklia
yaliyoyeyuka ndani ya kinu cha Japan kilichoharibiwa cha Fukushima.
Viwango vikubwa vya vitu vinayoonekana kama mawe vimeonekana katika kinu chake cha tatu.Ikiwa itathibitisshwa itakuwa mafanikio makubwa kati oparesheni ya kusafisha kinu hicho.
Zaidi ya watu 200,000 walilazimika kuhama makwao kutokana na uchafuzi uliotoakana nakinu hicho.
Baadhi ya maeneo yaliyoharibiwa bado yana uchafu mbaya wa nuklia na toboti hutumiwa kuyasafisha.
Zaidi ya watu 18,500 waliuawa au kutoweka wakati tetemeko la ardhi lilisababisha tsunami kubwa ambayo ilisababisha ajali katika kinu cha Fukushina.
Post a Comment