Upande wa upinzani katika Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo, umetangaza mpango wa migomo na kuvunja sheria,
kujaribu kumlazimisha Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.
Mgomo wa jumla wa siku mbili utaanza tarehe 8 Agosti.Maandamano ya pamoja yamepangwa kufanywa baadaye mwezi ujao, katika kila jimbo la nchi.
- Rais Kabila,Wapinzani wazungungumzia mustakabali wa DRC
- Upinzani waandamana dhidi ya rais Kabila DRC
- Miili ya wataalamu wa UN yapatikana DRC
Muhula wa rais ulima-li-zika mwaka jana.
Makubaliano yaliyofikiwa baada ya Kanisa Katoliki kupatanisha, ni kwamba atabaki madarakani hadi Disemba mwaka huu, lakini rais baadae alisema, hakutoa ahadi yoyote
Post a Comment