Mrukaji wa viunzi kutoka nchini
Uingereza Greg Rutherford amejiondoa katika michuano ya dunia
itakayofanyika mwezi ujao mjini London kutokana na kupata maumivu ya
kifundo cha mguu.
Rutherford aliyeshinda medali ya dhahabu kwenye
mbio za Olyimpiki mjini London mwaka 2012, amesema anasikitika sana
kukosa nafasi hiyo muhimu.Richard Kilty, ambaye alitarajiwa kuchukua nafasi yake nae pia amejiondoa kwa maumivu ya kidole cha mguu.
Lakini But Shara Proctor, Jazmin Sawyers, Lennie Waite, Marc Scott na Jess Turner kwa pamoja wamejumuishwa kwenye kikosi.
Michuano hiyo ya dunia itaanza Agosti 4 mapa 13 mjini London.
Post a Comment