nyota namba moja kwa ubora wa mchezo wa tenisi Andy Murray ametinga kwenye nane bora ya michezo ya wazi ya tenesi ya Barcelona
Mwingereza huyo alimshinda Muhispani Feliciano Lopez. Kwa seti mbili ya 6-4 na 6-4
Rafael Nadal nae alisonga mbele kwenye hatua ya nane bora kwa kwa kumshinda Kevin Anderson.Wa Afrika Kusini kwa seti mbili ya 6-3, 6-4.
Dominic Thiem nae akamshinda Dan Evans' kwa 7-6 6-2
Post a Comment