Msimu uliopita, kikosi hicho cha kocha Julian Nagelsmann, pia kiliisumbua Bayern kwa kuvuna pointi nne katika michezo miwili ya Bundesliga, huku ushindi wao wa bao 1-0 Aprili ukiwa ni wa kwanza baada ya kukutana mara 18.
Hicho kilikuwa kipigo cha kwanza cha Bayern msimu huu kilichomuumbua kocha C a r l o A n c e l o t t i ambaye alibadilisha kikosi chake akilenga kuwapumzisha baadhi ya mastaa kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki hii dhidi ya Anderlecht.
Hoffenheim bado hawajafungwa mechi yoyote msimu huu na wamebaki na pointi sawa na Borussia Dortmund pamoja na Hannover kilelen

Post a Comment