Ligi kuu soka England iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto
Mtanange kati ya Westham na Man City uliisha kwa wagonga nyundo yaani Westham kuchapwa 4-0.
Stoke City 1-Everton 1
Ambapo katika mchezo huo mshambuliaji wa stoke Peter Crouch amefikisha goli la 100 kwenye EPL.
Manchester United 0- Hull City 0
Hii inamaanisha kwamba hata mchezo unaokuja Man United ikishinda na City ikafungwa United inabaki palepale namba sita.
Manchester City 4-0 West Ham
Naye Gabriel Jesus alifunga bao lake la kwanza la Man City wakati timu hiyo ilipoicharaza West Ham katika uwanja wa London
Post a Comment