Mjane wa mwanaume aliyeuwa watu 49
kwa kushambulia kwa bastola watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
waliokuwa katika ukumbi wa starehe katika mji wa Florida huko nchini
Marekani, amehukumiwa kwa kumsaidia mumewe katika kuvunja sheria.
Mwanamke huyo atatumikia kifungo jela kama akikutwa na hatia.
Waendesha mashtaka wanadai kuwa mwanamke huyo alikuwa akifahamu kuwa mumewe alikwa akipanga shambulio katika ukumbi huo wa starehe maarufu kama Pulse nightclub.
Mwanaume huyo alikiri kuwa na mahusiano na kundi la wapiganaji wa kiislamu (IS)
Post a Comment