0
Virusi vinatajwa kuwa hatari zaidi wakati vinavamia mwili wa mwanadamu saa za asubuhi, kwa mujibu wa utafiti wa chuo cha Cambridge.
Matokeo ya utafiti huo yaliyochapishwa, yalionyesha kuwa virusi huwa na mafanikio mara kumi zaidi ikiwa vitaingia mwililini saa za asubuhi.
Watafiti hao wanasema kuwa matokeo hayo yatasababisha kupatikana kwa njia mpya za kuzuia majanga.
Virusi, kinyume na bakteria hutegemea zaidi kuvamia chembechembe za mwili ili viweze kuwa na uwezo ya kukua.

Post a Comment

 
Top