0

Muingereza Andy Murray yeye amekuwa mcheza Tenisi wa kwanza kushinda medali mbili za dhahabu za Olympiki kwa mchezaji mmoja mmoja baada ya kumshinda muargentina Juan Martin del Potro.
Murray mwenye umri wa miaka 29, alimshinda Juan kwa seti nne za 7-5 4-6 6-2 7-5
Ushindi wa Murray umekuja majuma matano baada ya kushinda taji lake la pili la Wimbledon na miaka minne tangu alipopata mafanikio jijini London.

Post a Comment

 
Top