Muungano wa milki za Kiarabu, ya Imarati, umewaonya raia wake waepuke kuvaa mavazi ya kiasili wanapokuwa nchi za nje.
Ilani hiyo imetolewa baada ya mfanyabiashara wa Imarati, aliyevaa kanzu nyeupe na kashda, alipovamia, kuangushwa chini, na kukamatwa na polisi wa Marekani katika jimbo la Ohio.
Karani mmoja wa hoteli alimshuku kuwa gaidi.
Imarati pia imewaonya wanawake wasijifunike nyuso zao katika nchi za Ulaya, ambako mavazi hayo yanakatazwa.
Post a Comment