0


Muft mkuu wa Tanzania Sheik Abubakary Zubery ametangaza kuwa kesho jumatano ni sikukuu ya Eid el Fitr baada ya mwezi kuandama.


www.bondelaufahabari.blogspot.com inawatakia waislamu wote  sikukuu njema.

Post a Comment

 
Top