Wanaume wawili ambao walikiri makosa, wamefungwa jela nchini Afrika Kusini kwa kumshambulia mhudumu mweusi wa kituo cha mafuta
Wawili hao walinaswa na kamera za CCTV, wakimpiga mhudumu huyo baada ya kuwaambi kuwa hakukuwa na petroli katika kituoa hicho.
Video inaonyesha Johannes Monyela mwenye umri wa miaka 33, akipigwa katika kituo cha mafuta cha Sasol, eneo la Tzaneen mkoa wa Limpopo.
Mahakama ya wilaya ya Tzaneen iliwahukumu wawili hao, Hermanus van Dyk miaka miwili jela na Danie le Roux, kifungo chama miezi 18 jela.
Post a Comment