0
Shirika la haki za binadamu la umoja wa mataifa limesema kwa lina wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa ghasia kwenye maandamano ya kila wiki nchini Kenya.
Polisi nchini Kenya walinukuliwa na shirika la habari la AFP wakisema kuwa kuwa, watu watatu waliuawa wakati waaandamanaji walikabiliana na polisi sehemu tofauti za nchi siku ya Jumatatu.
Image captionPolisi wa kuzima maandamano
Kwenye taarifa UNHCR ilitoa wito kwa serikali kuheshimu haki ya kukusanyika kwa amani, na pia kuwa kuwataka waandamanaji kuwa na amani.
Ndiyo wiki ya nnne ya maanda

Post a Comment

 
Top