Polisi nchini Afrika Kusini
wametibua jaribio la kulisafirisha gari moja la kifahari lililokuwa
limeibwa kwenda nchini Zimbabwe kwa kutumia punda kupitia mto Limpopo.
Washukiwa
walitoroka kwenda vichakani kueleka upande wa zimbabwe baada ya
jitihada zao za kulikwamua gari hilo kutoka kwenye mchanga kushindikana.Disemba iliyopita gari lililokuwa limeibwa kutoka mjini Durban lilipatikana mtuo huo huo likiwa limefungiwa kwa kutumia kamba kwa kundi la punda.
- Polisi wakamata ngozi 5000 za punda Afrika Kusini
- Niger yazuia mauzo ya nje ya punda
- Burkina Faso kuathiri soko la Punda,Asia
Mto Limpopo ndio mpaka kati ya Afrika Kusini na Zimbabwe na ni maarufu kama njia wanayopitia wahamiaji haramu kati ya nchi hizo mbili, lakinia ataraiga za mto huo kutumia kupitisha magari yaliyobwa bana za kushagza.
Post a Comment