Israil imeweka kamera pahala wa kuingia katika uwa wa msikiti wa al-Aqsa katika mji mkongwe wa Jeruslem.
Hayo
yanatokea wakati wa mvutano mkubwa kuhusu hatua za usalama kwenye eneo
hilo, ambalo waislamu wanali-ita Haram al-Sharif na wayahudi wanaita
Temple Mount.Waumini wa Palestina wamepinga vikali Israil kuweka mitambo ya kun'gamua kama mtu amebeba kitu cha chuma, baada ya askari polisi wawili wa Israil kuuwawa.
- Rais wa Palestina akata mawasiliano na Israel
- Israel yafungua eneo takatifu Jerusalem
- Polisi wawili wa Israel wauawa Jerusalem
- Waziri mkuu wa zamani wa Israel aliye gerezani kuachiliwa
Baadaye raia watatu wa Israel wakauawa kwa kuchomwa visu katika makao ya walowezi wa kiyahudi karibu na Ramallah na mshambuliaji mpalestina ambaye aliingia nyumbani kwao.
Post a Comment