Wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny wanatarajiwa kumiminika mjini Moscow kwa maandamano yasiyoruhusiwa kupinga ufisadi.
Bwana Navalny alipata kibali cha kufanya mkutano sememu nyingine lakini akasema kuwa ameuhamisha mkutano huo baada ya mamlaka kujaribu kuwahangaisha waandamanaji.
Ofisi ya mkuu wa mashataka imeinya kuwa polisi watachukua hatua dhidi ya maandamano yasiyoruhusiwa,
- Kiongozi wa upinzani nchini Urusi afungwa jela
- Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi akamatwa Moscow
Maandamano madogo yanaripotwa katika miji eneo la mashariki mwa Urusi.
Wimbi la mwisho la maandamano yaliyoongozwa na Bwana Navalny yalimalizika huku mamia ya watu wakikamatwa.
Maandanoia yalikuwa makubwa zaidi tangu mwaka 2012 na kuwavutia maelfu ya watu wakiwemo vijana wengi, baada ya ripoti iliyochapishwa na Bwana Navalny, ikimshutumu waziri mkuu Dmitry Medvedev kwa kuhuika kwenyr ufisadi.
Post a Comment