0

Mwezi uliokamilika unaonekana mnamo mwezi Februari ,karibu na mji wa Orlando nchini Marekani .Mwezi huo huitwa mwezi wa barafu Marekani kwa kuwa ni wakati wa barafu nchini humo






Mwezi huo wa barafu unajiri wakati wa kupatwa kwa mwezi unapopitia katika kivulivuli cha dunia kama inavyoonekana hapa mjini Lahore nchini Pakistan.







           















                                                       





Jina la mwezi wa barafu linatoka katika tamaduni za Marekani. Unaonekana hapa katika jimbo la Kansas

Post a Comment

 
Top