Mwanamke aliyemtuhumu Rais mteule wa
marekani Donald Trump kwa unyanyasaji wa kijinsia, anamtuhumu kwa kosa
la kashfa kwasababu Trump alikanusha madai haya na kusema kuwa ni ya
uongo.
Madai hayo yanaonyesha kwamba Rais Mteule wa Marekani Donald Trump alimkashifu na kumkebehi mwanamke huyo, aliyekuwa mgombea katika kipindi cha Televisheni cha Bwana Trump aliyeigiza kama mwanafunzi, na kumrushia maneno ya uongo.
Mwanasheria wa mwanamke huyo alipitisha jaribio la kubaini Uongo.
Post a Comment