0
Serikali ya Australia na Papua New Guinea zimekubaliana kufunga kituo cha uhamiaji cha Australia kilichopo katika kisiwa cha Manus nchini Papua.
Tangazo hilo limetolewa kufuatia mazungumzo baina ya waziri ya Uhamiaji ya Australia, Peter Dutton na Waziri mkuu wa Papua New Guinea ,Peter O'Neill.
Wamekubaliana kukifunga kituo hicho mwezi Aprili
Image captionWamekubaliana kukifunga kituo hicho mwezi Aprili
Wamekubaliana kukifunga kituo hicho mwezi Aprili, baada ya Nchi yake kutoa maamuzi kuwa watu waliowekwa kizuizini ilikuwa kinyume cha sheria na katiba.
Bwana Dutton amesema kuwa hamna hata mtu mmoja kati ya watu mia nane wanaokaa kwenye kituo watakopewa ardhi Nchini Australia.
Ramani ya eneo hilo
Image captionRamani ya eneo hilo

Post a Comment

 
Top