0
Mashindano maarufu duniani ya baiskeli maarufu kwa jina Tour de France, inaanza hii leo katika eno la Normandy kaskazini mwa Ufaransa.
Mshindi wa mwaka uliopita Mwingereza Chris Froome anatumai kushinda taji la tatu la mashindano hayo, japo atakabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Nairo Quintana wa Colombia na mshindi wa mashindano ya awali Alberto Contador wa Uhispania.
Image copyrightREUTERS
Image captionNairon Quintana
Mashindano hayo yanaanza katika kisiwa cha Abbey na kumalizika huko Champs-Elysees mjini Paris baada ya wiki tatu.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top