0
Familia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice MatumboShelukindo kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street,Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.
Bwana ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe.

Post a Comment

 
Top