Kumeripotiwa kupungua kwa karibu asilimia 50, idadi ya watu wanaoambukizwa virusi vya ugonjwa wa ukimwi nchini Uganda katika kipindi cha miaka minne iliyopita kwa mujibu wa viwango vilivyotangazwa hivi leo.
Gazeti la Uganda la Observer, limekuwa likiandika takwimu hizo zilizotolewa na matamshi ya mkurugenzi mkuu wa UNAids Musa Bugundu, mjini Kampala.
Anasema kuwa na uhakika kuwa ifikapo mwaka ujao, hakutakua na mtoto atazaliwa akiwa na ugonjwa wa ukimwi.
Post a Comment