ELIHURUMA CHAO Mkufunzi wa Maswala ya Production na Fundi Mitambo wa AJTC Radio akiwa Katika studio za Radio kuhakikisha Mitambo Inakaa sawa |
Makamu Mkuu wa chuo cha Uandishi Wa habari na Utangazaji Arusha Bw. ELIFURAHA SAMBOTO Akiwasilisha Taarifa ya Habari |
JACKLINE JOELI Mkufunzi wa Arusha Journalism Akiwa katika kipindi cha GOSPEL TIME Cha 96.6 AJTC RADIO |
ONESMO ELIA MBISE kulia Mkufunzi wa Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha pia ni Mkuu wakitengo Cha utangazaji Chuoni hapo akiwa katika kipindi cha ELIMIKA NAMI |
Pichani Ni STEPHEN MULAKI Katika Makala Murua ya DUNIA Makala inayohusiana na Watu wenye Ulemavu wa ngozi ALBINO |
Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa habari nautangazaji Arusha wakiwa makini kuwasikiliza wakufunzi wao |
HII NI KAWAIDA NA NI DESTURI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA (A..J.T.C) KILICHOPO ARUSHA MBAUDA KWA MROMBO KUANDAA MASHINDANO YA UTANGAZAJI KILA WAKATI KUWAPA UWEZO WANAFUNZI KUPAMBANA NA SOKO LA AJIRA PINDI WANAPOMALIZA CHUO
Post a Comment