0
Idadi ya watu waliothibitishwa kuaga dunia katika maporomo ya udongi ya hivi majuzi na mafuriko nchini Sri Lanka, imepanda hadi watu 82.
Idara inayoshughulikia majanga ilisema kuwa vifo hivyo vimeendleea kuongezeka taratibu huku maiti kadha zikigunduliwa katika wilaya iliyo kati kati mwa nchi ya Kegalle.
Maporomoko ya ardhi yalifunika vijiji vitatu siku ya Jumanne. Watu kadha bado hawajulikani waliko huku maelfu ya wengine wakiishi kwenye makao ya muda

Post a Comment

 
Top