Eilidh Doyle anatarajiwa kurudisha
kumbukumbu za wakimbiaji wa zamani Christine Ohuruogu na Dai Greene
wakati atakapoiongoza timu ya taifa ya Uingereza ya riadha mjini London
mwezi ujao.
Greene alikuwa mkimbiaji wa timu ya Uingereza katika
michezo ya London 2012, huku Ohuruogu akiwa nahodha katika mbio za dunia
za 2013 huku wote wakiweka rekodi za kuvutia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment