Kampuni ya kielektroniki ya Samsung ya Korea Kusini, imekunusha taarifa zilizotolewa na familia ambazo zinataka fidia ya madhara ya viwanda.
Kundi la wafanyakazi limesema watu 76 wamefariki kutokana na kemikali za kiwanda ambacho kinatengeneza bidhaa za samsung.
Baadhi ya kesi zilimalizika lakini,lakini nyingine zinachelewa kutokana na mamlaka Kutaka kujua ni kemikali gani zimesababisha ugonjwa na vifo.
Samsung imesema kufichua taarifa kama hizo ni kutoa siri za kibiashara.
Imekanusha kuzuia taarifa kinyume na sheria.
Post a Comment