0






Ni kibao kinacho elekeza kwamba hii ndiyo Arusha journalism Training College.Picha na Magdalena Marko.

Hili ni jengo la Utawala katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha eneo ambalo shughuli mbalimbali za ufundishaji huratibiw a( picha na Magdalena Marko)



Wanafunzi wa darasa la Rwenzori ndani ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha wakiwa wanaendelea na vipindi vyao vya kila siku huku wakimsikiliza mwalimu wao kwa umakini wa hali ya juu(picha na Magdalena marko)


Mwalimu Majaliwa Ishengoma akifundisha somo la journalism ethics kwa wanafunzi wa darasa mojawapo ndani ya chuo hicho(picha na Magdalena Marko)

Baadhi ya wanafunzi  wakiwa katika  mazoezi ya vitendo ya kompyuta  ndani ya arusha journalism training college.(picha na magdalena marko)


Ni kifaa muhimu sana ndani ya studio ni sawa na moyo wa binadamu kifaa hiki kikikosekana hamna uhai ndani ya studio kitaalam tunakiita Mixer(Picha na Magdalena marko)


Wanafunzi wakiwa katika ukumbi wa chuo hicho wakisikiliza vipindi vinavyoendelea studio wakati darasa la Mzumbe likiwasilisha vipindi vyao.(Picha na magdalena marko)


                 Fundi mitambo akiongoza mitambo kusudi vipindi viende hewani ipasavyo.
Ni katika ukumbi wa chuo hicho eneo ambalo mazoezi ya vitendo hufanyika kwa kuwasilisha vipindi vya redio mara kwa mara na wanafunzi wakiwa makini kusikiliza(Picha na Magdalena marko)






Post a Comment

 
Top