dege za kivita za Israeli zimetekeleza msururu wa mashambulzi ya asubuhi mapema huko Gaza.
Jeshi la Israeli linasema limeshambulia maeneo manne yanayohusishwa na wapiganaji wa Hamas ambao wanadhibiti eneo hilo.
Kulingana na taarifa kutoka kwa vyanzo nchini Palestina, watu wawili wameuawa.
Awali kombora lililofytuliwa kutoka Gaza liligonga jengo la shule ya chekechea japo halikuwa na watu.
Post a Comment