0
Watu kadha wanahofiwa kufa maji baada ya mashua yao kuzama nje ya pwani ya Libya.
Msemaji wa kikosi cha wanamaji cha Ulaya ambacho kinapambana na watu wanaoshiriki ulanguzi wa watu katika habari ya Mediterranean, alisema kuwa hadi watu 30 wanahofiwa kufa maji huku wahamiaji wengine 50 wakiokolewa.
Walinzi wa pwani ya Italia wanasema kuwa hadi watu 80 walizama maji
Siku ya Jumatano jeshi la wanamaji nchini Italia lilifaulu kuwaokoa wahamiaji, baada ya chombo kikubwa cha uvuvi kilichokuwa kikiwafafirisha kupinduka nje ya pwani ya Libya.

Post a Comment

 
Top