0
Ni katika mashindano yakumtafuta mtangazaji bora wa vipindi ndani ya chuo cha uandishi wa habari 
na utangazaji ArushaA.J.T.C yaliyoanza siku ya jumatatu na  takribani madarasa kumi na moja yameshawasilisha vipindi vyao kati ya madarasa kumi na tatu.

Mwanafunzi wa darasa la Kilimanjaro akiwa ndani ya studio za 96.6A.J.T.C RADIO akiwasilisha kipindi cha burudani Elimu .
Majaji wa shindano hilo wakiwa makini kusikiliza na kurekodi kilichowasilishwa na washindani hii ni baada ya mashindano kupamba moto.
Wanafunzi wakiwa makini kusikiliza vipindi vinavyowasilishwa studio na wenzao ili kujua nani zaidi kati yao.

Post a Comment

 
Top