0
Chama cha kikoministi cha China kimepewa mamlaka ya kudhibiti dini nchini humo.
Kiongozi wa Uchina, Xi Jinping, amesema makundi ya kidini lazima yakubali kudhibitiwa na chama cha kikoministi.
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili mjini Beijing,rais Xi alisema itikadi za dini lazima zifuate sheria na utamaduni wa Uchina.
Image copyrightAFP
Image captionRais Xi alisema itikadi za dini lazima zifuate sheria na utamaduni wa Uchina.
Alisema dini haina mchango katika siasa za nchi.
Rais Xi piya alionya watu wa nje wanaingilia kati ya mambo ya taifa kwa kupitia njia za kidini.
Watu wa Uchina wanahimizwa kuhudhuria maeneo ya ibada yaliyokubaliwa na taifa na wanaweza kutiwa adabu kali wakifanya ibada kinyume cha sheria.

Post a Comment

 
Top