Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International, limetaka makuburi ya pamoja kaskazini mwa Nigeria kufungwa kwa uchunguzi, kufuatia kukuri kwa kiongozi wa serikali aliyesema watu 347 waliuawa katika mapingano kati ya jeshi na kundi la waislamu Shia mjini Zaria mwezi Desemba.
Balarabe Lawal, katibu wa serikali ya Kaduna aliambia afisa wa uchunguzi kwamba Jumatatu mili ya wafu itolewa kwenye kambi ya jeshi na kuzikwa katika makaburi ya pamoja kw amujibu wa vyombo cha habari.
Amnesty Internationa inasema kuwa kuna taarifa za kutisha kutoka kwa serikali ya Kaduna kwamba mamia ya washia waliuawa na kutupwa kwenye makaburi ya pamoja
Post a Comment