Picha za matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa, Julai 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa kijiji cha Chunyu kabla ya kuwasalimia wananchi akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa, Julai 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaslimia wananchi wa kijiji cha Mihewe kabla ya kuzungumza nao akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai 15, 2016.
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Mihewe akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ziara ya jimbo la Ruangwa Julai 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Matambalale katika jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai 15, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Post a Comment