Malipo ya juu kabisa katika historia ya mchezo wa tennis yanatarajiwa kutolewa katika michuano ya wazi ya tennisi ya Marekani mwaka huu.
Fedha zilizotengwa kwa zawadi ni dola milioni 46.
Washindi kwa upande wa kina kaka na kina dada watapata dola milioni 2 na 3 hii ikiwa ni malipo ya juu kabisa kufanyika katika michuano hii itakayoanza Agosti 29 mpaka Septemba 11.
Ongezeko la malipo ni asilimia 10 zaidi ya michuano ya mwaka jana.
Post a Comment