0
Wataalam wa usalama kutoka upande wa Republican wameandika waraka wakisema Trump atakua rais mropokaji zaidi katika historia ya Marekani.
Hatua yao inafuatia viongozi wengine wa Republican kutangaza msimamo wao kuwa hawatampigia kura Bw Trump. Ifuatayo ni orodha yao:
  • Barbara Bush, Mke wazamani wa rais
  • Jeb Bush, governor wa zamani wa Florida , na mgombea wa urais 2016
  • William Cohen, Waziri wa zamani wa ulinzi
  • Jeff Flake, Seneta wa Arizona
  • Lindsey Graham, seneta wa South Carolina , na mgombea wa urais 2016
  • Larry Hogan, gavana wa Maryland
  • John Kasich, gavana wa Ohio, na mgombea wa urais 2016
  • Mark Kirk, seneta wa Illinois
  • Mitt Romney, gavana wa zamani wa Massachusetts, na ambae pia aliteuliwa kama mgombea wa urais 2012 kwa tiketi ya Republican
  • Ileana Ros-Lehtinen, bunge wa baraza la congress, jimbo la Florida
  • Ben Sasse,seneta wa Nebraska

Post a Comment

 
Top