0
Christiano Ronaldo ndiye mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes.
Ronaldo ameorodheshwa katika nafasi ya 4 akiwa na jumla ya mapao ya dola milioni 88.($88m (£67m)
Licha ya kuzoa taji la mchezaji bora duniani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miezi 21 kwa kukwepa kulipa kodi, mshambulizi wa Argentina na Barcelona ya Uhispania Lionel Messindiye mwanamichezo wa pili katika orodha hiyo.
Image copyrightGETTY
Image captionMwanamuziki nyota wa Marekani Taylor Swift ndiye anayeongoza katika mapato.
Messi ameorodheshwa katika nafasi ya 8 akiwa na mapato ya takriban dola milioni themanini na moja u nusu.($81.5m (£62.1m)
Mwanamuziki nyota wa Marekani Taylor Swift ndiye anayeongoza katika mapato.
Totoshoo huyo alijizolea takriban dola laki moja na sabini mwaka uliopita. $170m (£130m)
Image copyrightGETTY IMAGES
Image captionMchekeshaji nguli kutoka Marekani Kevin Hart naye yumo.
Mchekeshaji nguli kutoka Marekani Kevin Hart naye yumo.
Mwaka uliopita jarida la nani tajiri zaidi duniani Forbes linakisia kuwa Hart alipata takariban dola milioni themanini na saba. - $87.5m (£66.6m)
Msanii wa Uingereza , Adele aliyepata umaarufu mkubwa na kibao chake cha hello anaorodheshwa katika nafasi ya 9.
Image copyrightAFP
Image captionMessi ameorodheshwa katika nafasi ya 8
Adele alijizolea takriban dola milioni thamanini u nusu.($80.5m (£61.9m)
Hii hapa orodha kamili ya watumbuizaji kumi bora.
Orodha ya watumbuizaji tajiri zaidi mwaka wa 2015.
1. Taylor Swift - $170m (£130m)
2. One Direction - $110m (£84.6m)
3. James Patterson - $95m (£72.3m)
4. Cristiano Ronaldo - $88m (£67m)
6. Kevin Hart - $87.5m (£66.6m)
7. Howard Stern - $85m (£65.4m)
8. Lionel Messi - $81.5m (£62.1m)
9. Adele - $80.5m (£61.9m)
10. Rush Limbaugh (US ) - $79m (£60.1m)

Post a Comment

 
Top