NEW MUSIC: Chid Beenz Ft. Raymond – Chuma 10:24 Unknown 0 burudani A+ A- Print Email Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye mwanamuziki, Chid Beenz ameachia wimbo mpya ambao ameupa jina la Chuma, akimshirikisha Raymond kutoka WCB Wasafi. Mdundo wa nyimbo hiyo umetengenezwa na Mr. T-Touch na Lizer Classic.
Post a Comment