Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee usiku huu atakuwa akiwasha moto ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar kwenye Tamasha lake la Naamka Tena.
Malkia huyu atawarusha mashabiki wake kwa vibao vyake kadhaa bila kusahau ngoma yake mpya ya NDI NDI NDI!! Tukutane pande hizo, Global Publishers sambamba na Global TV Online tutakuwepo kukupa burudani zote zitakazochukua nafasi.
Post a Comment